"Tiki Tako"
“Tiki Tako”是在唱片公司“Mejja & Matata”的官方頻道06 六月 2025上發布的肯尼亞人上演唱的歌曲。發現有關“Tiki Tako”的獨家信息。查找 Tiki Tako 的歌詞、翻譯和歌曲事實。根據互聯網上的一條信息,收入和淨資產是由贊助商和其他來源累積的。“Tiki Tako”這首歌在已編譯的音樂排行榜中出現了多少次?“Tiki Tako”是一個著名的音樂視頻,在熱門排行榜上佔據一席之地,例如前 100 肯尼亞 首歌曲、前 40 肯尼亞人 首歌曲等。
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Tiki Tako" 事實
“Tiki Tako”在 YouTube 上的總觀看次數達到了 405.6K 次,點贊次數達到了 12.9K 次。
這首歌已在 06/06/2025 上提交,並在排行榜上停留了 1 週。
音樂視頻的原始名稱是“MATATA FT. MEJJA - TIKI TAKO [OFFICIAL LYRIC VIDEO]”。
“Tiki Tako”已在 Youtube 上的 06/06/2025 10:00:08 發布。
"Tiki Tako" 歌詞、作曲家、唱片公司
MATATA
;MEJJA - TIKI TAKO [Official Lyric Video]
Connect with Matata
Instagram :
Twitter: / matataofficial1
Facebook : / matatanorge
Spotify :
Written by - Matata & Mejja
Performed By- Matata & Mejja
Produced By- Woud Omollo
Mixed By- Mixedbychopz
Lyrics
Tiki tako
Chorus
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (BEYOND)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay) x2
Hook
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah x2
Verse
Huku tunatibu hadi malaria, kam na geri ah
Hapa kenye hakuna za ukeke na gonorhoea
Alafu tumeseti tuko jaba na ma warria
Ambia humdem ana dera nina chapo anaeza kalia
Ai ai honey, mi huwaga somebody
Leo mi ordinary kesho summer bunny
Ai ai ai honey please come dine na mi
Later zikinice tuache ilale ndani
Nina keys to the city, Give me keys to your kitty
Kiss to infinity nadai round ya pili
Na Usthani nakudai ju ya Nyash that’s a lie
Nasithani umewai juu ya cash another lie
Chorus
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (BEYOND)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay) x2
Hook
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah x2
Verse 2
Nina swali nani hu motivate ma motivator
Swali
Mbona crockdile si aligator
Swali
Mbona huroll ngwai ma coated paper
Swali
Mbona hupendi kuserereka
Ai ai honey, mi huwaga somebody
Leo mi ordinary kesho summer bunny
Ai ai ai honey please come dine na mi
Later zikinice tuache ilale ndani
Najifanya ni ka siko na mali iko shiko
Nimeshika ma mita so zabe me siko
Akili ni ya 50 ya fifty na rangi ya thao
Mwili ni ya nini ka huwezi ji nao
Chorus
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (BEYOND)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay) x2
Hook
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah x2
Verse 3
Me nataka manzi ako na beads kwa waist
Naskia wanakuwanga freak kwa bed
Me nataka ku find out just incase
Nita settle down niko jaba
Jaba yangu hushika na ka rosta
Ka jasho kanaanza kunitoka
Zina nishow vile nime omoka
Huyu dem me nambeba take away
Atakuwa mteja hadi next week
Ma usiku naskia uki ji DJ
Ukitaka ndakusaidia ku mix
We mpige block alafu give me a kiss
Chorus
Tuko juu ya jaba, tume seti tuko on
Zimekanashi ku arrest beyond (BEYOND)
Ka unadai form, tukona hadi miti shamba
Huku kuna hadi waganga and beyond (ay ay ay ay) x2
Hook
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako Ayy
Tiki tako, ah ah
Tiki hiyo tako ah x2