"Kwaaa"
— 演唱 Rapcha
“Kwaaa”是在唱片公司“Rapcha”的官方頻道19 七月 2023上發布的坦桑尼亞上演唱的歌曲。發現有關“Kwaaa”的獨家信息。查找 Kwaaa 的歌詞、翻譯和歌曲事實。根據互聯網上的一條信息,收入和淨資產是由贊助商和其他來源累積的。“Kwaaa”這首歌在已編譯的音樂排行榜中出現了多少次?“Kwaaa”是一個著名的音樂視頻,在熱門排行榜上佔據一席之地,例如前 100 坦桑尼亞 首歌曲、前 40 坦桑尼亞 首歌曲等。
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Kwaaa" 事實
“Kwaaa”在 YouTube 上的總觀看次數達到了 10.2K 次,點贊次數達到了 301 次。
這首歌已在 19/07/2023 上提交,並在排行榜上停留了 1 週。
音樂視頻的原始名稱是“RAPCHA - KWAAA (OFFICIAL VISUALIZER)”。
“Kwaaa”已在 Youtube 上的 19/07/2023 14:11:48 發布。
"Kwaaa" 歌詞、作曲家、唱片公司
STREAM/DOWNLOAD TTTV2:
LYRICS
It’s been a minute shawty
Last king of 90’s baby
This is crazy!
[Chorus]
Ananizunguka tu kichwani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa Em cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka Yani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa Em Cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka
[Verse 1]
Maake yuko hot ain’t capping
Nahisi kama age yuko twent something Ngoma zake west hamjui last king Ananipa headache namaliza asprin Ukianza na face au weka last
Body number 8 hii sio plastic
Scent ya kishua kitu ka jasmine
Kwapa ni upara shughuli ya waxing
And i guess ye ndo anafanya town kuna joto maana sio siri yuko really hot Nguo haziponyoki zinamshika very tight tight kama rubberband iliokamatia noti Sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax
Vile yuko byee byee naeza kum’trust
Nachotaka yeye anipe tu nafasi basi
Kaikosha nafsi
[Chorus]
Ananizunguka tu kichwani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa
Em cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka
Yani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa
Em Cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka
[Verse 2]
Big big back, Big A double S
Kiti chenye pini ana burst akiketi
Kama itatokea ukamuona ukiwa una drive car itabidi upark ndo ubaki concetrate Sijasikia wimbo unao eleza ulivyo beautiful
Since first time nachizika ulivyo mzuri hivyo
Hapa bado sijaanza kumpa sifa zilofichwa
Nasubiri anikubali nianze kumpa kichwa
Kizembe hang’oki na faranga
‘Afu Bonge la ndege havutwi na kamba
Moyo unazidisha tu mikito kwenye heartbeats kama sign beatz unabeat tukimeet Ila sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax
Vile yuko byee byee naeza kum’trust Nachotaka yeye anipe tu nafasi basi Kaikosha nafsi ila
[Chorus]
Ananizunguka tu kichwani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa
Em cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka
Yani like
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa
Em Cheki anavyo
Waka waka waka waka waka waka waka
Audio produced by:
Mixing and Mastering by:
Join Our Family:
#rapcha #kwaaa #artistontherise