"Dewji"
— 演唱 Rapcha
“Dewji”是在唱片公司“Rapcha”的官方頻道26 四月 2025上發布的坦桑尼亞上演唱的歌曲。發現有關“Dewji”的獨家信息。查找 Dewji 的歌詞、翻譯和歌曲事實。根據互聯網上的一條信息,收入和淨資產是由贊助商和其他來源累積的。“Dewji”這首歌在已編譯的音樂排行榜中出現了多少次?“Dewji”是一個著名的音樂視頻,在熱門排行榜上佔據一席之地,例如前 100 坦桑尼亞 首歌曲、前 40 坦桑尼亞 首歌曲等。
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Dewji" 事實
“Dewji”在 YouTube 上的總觀看次數達到了 10.4K 次,點贊次數達到了 331 次。
這首歌已在 26/04/2025 上提交,並在排行榜上停留了 0 週。
音樂視頻的原始名稱是“RAPCHA FEAT. MAPANCH BMB - DEWJI (VISUALIZER)”。
“Dewji”已在 Youtube 上的 26/04/2025 10:47:58 發布。
"Dewji" 歌詞、作曲家、唱片公司
STREAM/DOWNLOAD DTGC:USZM
LYRICS
Kama hujawahi pata hii experience let’s not talk about money
99
Pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya Dewji
Pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya Dewji
Maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya Dewji
Na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya-
Nmeona demu akiwa kwenye ndege akapokea tiketi ya ndege nyingine
Yupo safari anamfata mchizi huku anapanga safari nyingine
Na hapo bado nna chance nkipandishe dau atasepa na mimi pengine
Ila kwa credit card ya Dewji ndo ningewagea story nyingine
Ushawahi rudishiwa kodi ukahama kisa kuna mwana tu amepanda dau?
Au demu wako miaka mitano akiri kabisa amekusahau?
Uchelewe ndege asubuhi upande nyingine jioni na umeshasahau?
Umewahi kuona wakiwa wanatubu mbele ya watu waliowadharau?
Champagne tu ni bei ya kiwanja ukiwa na credit card ya -
Kwetu nimeona machizi wakidanja kutafuta credit card ya Dewji
Ushawahi toka na bebe ambayo baba ake ana credit card ya Dewji?
Ukala suti kwa family day mbele ya mkweo ukiwa na dread?
Pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya Dewji
Pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya Dewji
Maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya Dewji
Na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya-
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ina More
Credit card ina More
Credit card ina More
Credit card ina More
Mbele ya muda niko far east
Ngoma natunga ziko far east
Mi sishindani na presha ya west, why? Maana niko far east
Speed na nguvu ya kutosha kufika Aliko Dangote, Capitalist
Nikiona hela ina hang nafungua mfuko naweka, opportunist
Family dinner ni bei ya kiwanja ukiwa na credit card ya- uh
Vikao vya familia utasikilizwa tu kama ukiwa na - uh
You talk about money ila pesa ikiongea huskii
Ndo maana manzi ako ndo hakutii
Huwezi imagine unavusha demu wa nchi jirani ukiwa na -
In your family tree who is Financially free?
Nani anaeweza kupaki mpira mkali majirani wote waka pree?
Nani anaeweza kulipa mishahara watu elfu moja wakala ugali?
Umewahi kuona mtoto anabadili dini na familia ikakubali?
Pembe la ng’ombe haiwezi fichika ukiwa na credit card ya Dewji
Pesa inaongea huwezi tongoza ukiwa na credit card ya Dewji
Maneno hayakunyimi usingizi ukiwa na credit card ya Dewji
Na kaburini ntapata usingizi nkiwa na credit card ya-
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ya Mo
Credit card ina More
Credit card ina More
Credit card ina More
Credit card ina More
Audio produced by:
Mixing and Mastering by:
Join Our Family:
#rapcha #mapanchbmb #dewji